• HABARI MPYA

  Saturday, September 30, 2017

  KLOPP AKIFURAHIA NA SADIO MANE MAZOEZINI LIVERPOOL

  Kocha Mjerumani wa Liverpool, Jurgen Klopp akifurahia na mchezaji wake, Msenegali Sadio Mane mazoezini viwanja vya Melwood jana kujiandaa na mchezo dhidi ya  Newcastle United kesho. Mane anarejea kuelekea mechi ya kesho baada ya kukosekana katika mchezo uliopita dhidi ya Leicester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: KLOPP AKIFURAHIA NA SADIO MANE MAZOEZINI LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top