Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma akipiga shuti mbele ya beki wa Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0
Mfungaji wa bao pekee la Yanga jana, Ibrahim Hajib akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Ndanda
Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akimpita mchezaji wa Ndanda jana
Beki wa Yanga, Gardiel Michael (katikati) akimdhibiti mshambuliaji wa Ndanda
Kikosi chaYanga katika mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
Kikosi cha Ndanda kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
11 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment