Mshambuliaji chipukizi wa Manchester United, Marcus Rashford akiruka kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya tano kabla ya kufunga na la pili dakika ya 17 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Burton Albion kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya Man United yalifungwa na Jesse Lingard dakika ya 36 na Anthony Martial dakika ya 60, wakati la Burton Albion limefungwa na Lloyd Dyer dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Simba mkiondoka tu Iringa Yanga wanaingia hapo
-
HOMA ya pambano la watani wa jadi imeanza kupanda ‘mdogo mdogo’ ambapo
mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Vodacom Yanga wamepanga kuweka kambi ya
maandalizi ...
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment