Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na Gareth Bale baada ya kufunga bao la pili la Real Madrid dakika ya 49 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Borussia Dortmund kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Signal Iduna Park mjini Dortmund. Bale aliyetoa pasi la bao la pili, ndiye aliyefunga bao la kwanza dakika ya 18, wakati Ronaldo alifunga na la tatu pia dakika ya 79 na Pierre-Emerick Aubameyang akawafungia wenyeji la kufutia machozi dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eric Comrie makes 34 saves, Winnipeg Jets top Buffalo Sabres 4-1
-
WINNIPEG — Eric Comrie made 34 saves and Kyle Connor scored his
team-leading 15th goal of the season as the Winnipeg Jets downed the
Buffalo Sabres 4-1 on ...
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment