Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi
Beki Andrew Vincent 'Dante' akimiliki mpira mazoezini
Thabani Kamusoko (kulia) katika mazoezini na wenzake leo
Kipa Youthe Rostand katikati ya wenzake akipiga mpira
Thabani Kamusoko akikimbilia mpira mazoezini leo
Kipa kijana mdogo, Ramadhani Kabwili (katikati) akiupigia hesabu mpira
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
7 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment