Beki chipukizi Mtanzania, Emil Mgeta (kushoto) akiwa na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Neckarsulm Sports Union ya Daraja la Nne Ujerumbani jana baada ya kutambulishwa jana. Mgeta aliyekwenda huko akitokea timu ya vijana ya Simba SC, maarufu kama Simba B, anatarajiwa kuichezea timu hiyo kwa mara ya kwanza katika mchezo wa kirafiki Julai 15.
Microsoft building its own high-powered AI models, as it looks to slash
dependence on OpenAI
-
Microsoft (MSFT) says it’s on a path to developing high-powered frontier
models, an acknowledgment that it is looking to wean itself off of its
dependence ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment