![]() |
| Shujaa wa hat trick; Mrundi Amisi Tambwe kushoto jana alifunga mabao matatu peke yake |
![]() |
| Mpishi wa mabao; Ramadhani Singano 'Messi'kulia jana alitoa pasi za mabao yote |
![]() |
| Mtu wa kazi; Awadh Juma Issa kushoto jana alicheza vyema nafasi ya kiungo |
![]() |
| Winga teleza; Haroub Chanongo kushoto jana aliwakimbiza sana pembeni mabeki wa Oljoro |
![]() |
| Guu la kushoto upande wa kulia; Messi japokuwa anatumia mguu wa kushoto, lakini hucheza upande wa kulia |
![]() |
| Kitu nyavuni; Tambwe kulia akiuangalia mpira aliopiga ukitinga nyavuni, huku kipa wa Oljoro na beki wake wakimsaidia kushuhudia bao la pili jana la Simba |
![]() |
| Asante Mungu; Amisi Tambwe akiwa amesujudu baada ya kufunga |
![]() |
| Kikosi cha Simba SC jana |
![]() |
| Kikosi cha JKT Oloro jana |












.png)
0 comments:
Post a Comment