• HABARI MPYA

    Thursday, May 02, 2013

    MSOSI WA GOLDEN TULIP YA RABAT, JOHN BOCCO HADI KUJILAMBA

    Wachezaji wa Azam FC wakipata chakula cha mchana katoka hoteli ya Golden Tulip leo, Rabat, Morocco ambako wapo tangu Jumatatu kwa ajili ya mchezo wa marudiano, Raundi ya Tatu Kombe la Shirikisho Afrika keshokutwa mjini hapa.

    Chakula kitamu utajua tu; John Bocco anajilamba vidole

    Ni kujipimia; Brian Umony kushoto na Waziri Salum kulia

    Uhondo; Abdi Kassim 'Babbi' akila kwa raha zake

    Kocha Muingereza, Stewart Hall akijadiliana mambo na Mratibu wa Azam katika mashindano ya Afrika, Florian Kaijage leo Golden Tulip

    Mbunifu; Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi kulia akiwaonyesha blog ya BIN ZUBEIRY wachezaji wa Azam FC kupitia simu lake la hatari la Galaxy SII

    Mtu na kaka yake; Bin Zubeiry na Kaijage Golden Tulip

    Mkono wa Sure Boy; Picha hii imepigwa na Sure Boy...jamaa si soka tu, ana ujuzi mwingi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MSOSI WA GOLDEN TULIP YA RABAT, JOHN BOCCO HADI KUJILAMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top