IMEWEKWA MEI 25, 2013 SAA 4:30 USIKU
![]() |
| Hawa walivaa suti za kimichezo |
![]() |
| Mkurugenzi wa Executive Solutions Limited, Aggrey Marealle kushoto, Waratibu wa udhamini wa Taifa Stars TBL |
![]() |
| Kutoka kulia Katibu wa TFF, Angetile Osiah, Mtangazaji wa EATV, Patrick Nyembela na Mkurugenzi wa Masoko wa TFF, Jimmy Kabwe |
![]() |
| Kavishe akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde, Teddy Mapunda |
![]() |
| Baadhi wa Waandishi wa Habari waliohudhuria hafla hiyo |
![]() |
| Kocha wa makipa wa Taifa Stars, Juma Pondamali akipita jukwaani kwa madaha kuonyesha vazi la suti ya kimichezo |
![]() |
| Msanii Barnaba akiimba wimbo wa taifa katika uzinduzi wa vazi hilo |
![]() |
| Wachezaji katika picha ya pamoja na vimwana |
![]() |
| Kicheko; Kevin Yondan kulia na Shomary Kapombe kushoto wakifuarahia jambo |
![]() |
| Kutoka kulia Shomary Kapombe, Juma Kaseja na Zahor Pazi |
![]() |
| Kutoka kulia Juma Kaseja, Angetile Osiah, Salim Mohamed wa Friends Of Simba na Zahor Pazi |
![]() |
| Mwaa!; Kimwana akimpiga busu Mrisho Ngassa |
![]() |
| Handsome; Kevin Yondan |
![]() |
| Nadir Cannavaro na kimwana |
![]() |
| Amri Kiemba kulia na Aggrey Morris |
![]() |
| Kutoka kulia Athumani Iddi 'Chuji', kocha Kim Poulsen na Mwinyi Kazimoto |
![]() |
| Meneja Leopold Mukebezi kulia na kocha Kim Poulsen kushoto |
![]() |
| Kutoka kulia Mwinyi Kazimoto, Athumani Iddi na Salum Abubakar 'Sure Boy' |
![]() |
| Kutoka kulia Frank Domayo, John Bocco, Erasto Nyoni na Khamis Mcha |
![]() |
| John Bocco kulia na Erasto Nyoni kushoto |

























.png)