![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Abdallah Juma akijaribu kumtoka beki wa Tusker ya Kenya, Frederick Onyango katika mchezo wa kirafiki jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tusker ilishinda 3-0. |
![]() |
| Beki wa Tusker, Joseph Shikokoti akikabiliana na kiungo wa Simba Abdallah Seseme kushoto |
![]() |
| Seseme akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Tusker |
![]() |
| Haruna Athumani akitafuta mbonu za kumtoka beki wa Tusker, Onyango |
![]() |
| Jeremiah Bright wa Tusker akimdhibiti Mussa Mudde wa Simba |
![]() |
| Haruna Shamte akiosha |
![]() |
| Haruna Athumani akikabiliana na beki wa Tusker, Edwin Ombassa |
![]() |
| Kiggi makassy akimdhibiti Jesse Were |
![]() |
| Mudde akitafuta njia |
![]() |
| Shikokoti ameruka hewani kupiga kichwa peke yake |
![]() |
| Shikokoti akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Simba, Haruna Athumani |













.png)