• HABARI MPYA

    Monday, December 31, 2012

    MFARANSA MPYA WA SIMBA ATUA SIMPO TU

    Katibu wa Simba, Evodius Mtawala (kushoto) akiongozana na kocha mpya wa klabu hiyo, Patrcik Liewig baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam mchana huu. 

    Mtawala na Liewig

    Liewig, Mwenyekiti mpya wa Kamati ya Ufundi, Dani Manembe na Mtawala

    Anazungumza na Waandishi

    Anapanda kibasi

    Ndani ya kibasi

    Wanachama waliokuja kumlaki

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MFARANSA MPYA WA SIMBA ATUA SIMPO TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top