• HABARI MPYA

    Wednesday, June 03, 2015

    NOOIJ AMVULIA KOFIA ALHAJ NDOLANGA UZINDUZI JEZI MPYA ZA STARS

    Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mholanzi Mart Nooij alilazimika kuvua kofia yake wakati anamsalimia Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alhaj Muhiddin Ndolanga (kushoto) katika hafla ya uzinduzi wa jezi mpya za timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars mchana wa leo ukumbi wa JB Belmonte, jengo la Golden Jubilee Tower, Dar es Salaam
    Hapa Nooij anaondoka baada ya kumpa heshima yake Alhaj Ndolanga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NOOIJ AMVULIA KOFIA ALHAJ NDOLANGA UZINDUZI JEZI MPYA ZA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top