• HABARI MPYA

    Wednesday, June 03, 2015

    CANNAVARO ALIKUWA ANATETA NINI NA MWENYEKITI HUYU WA AZAM FC HAPA?

    Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Nadir Haroub 'Cannavaro' akimnong'oneza jambo Mwenyekiti wa klabu ya Azam FC, Sheikh Said Muhammad mchana wa leo katika ukumbi wa JB Belmonte wakati wa hafla ya uzinduzi wa jezi mpya za timu za taifa za Tanzania 
    Beki huyo wa Yanga SC alitumia sekunde kadhaa 'kumng'ata sikio' Mwenyekiti wa klabu wapinzani wao, Azam FC
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CANNAVARO ALIKUWA ANATETA NINI NA MWENYEKITI HUYU WA AZAM FC HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top