• HABARI MPYA

  Friday, June 26, 2015

  JONAS MKUDE NDANI YA JO'BURG TAYARI KWA MAJARIBIO BIDVEST WITS

  Kiungo wa Simba SC akiwa mjini Johannesburg, Afrika Kusini leo baada ya kuwasili kwa majaribio ya wiki moja katika klabu ya Bidvest Wits ya Ligi Kuu ya huko. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JONAS MKUDE NDANI YA JO'BURG TAYARI KWA MAJARIBIO BIDVEST WITS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top