• HABARI MPYA

    Friday, June 26, 2015

    MBUNGE SAID ZUBEIRY AZINDUA MASHINDANO YAKE MAGOGONI

    Mbunge wa Jimbo la Fuoni Said Mussa Zubeiry akizungumza na wachezaji wa Timu ya Maguta na Wazee FC zote za Jimbo la Fuoni katika mashindano ya Said Mussa Zubeiry Cup yanayofanyika mwezi wa Ramadhani katika kiwanja cha Magogoni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

    Baadhi ya washabiki wakifuatilia mtanange huo.

    Kipa wa timu ya Maguta akidaka mpira.  Matokeo ya mchezo huo wametoshana nguvu  bila ya kufungana. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBUNGE SAID ZUBEIRY AZINDUA MASHINDANO YAKE MAGOGONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top