• HABARI MPYA

    Sunday, June 28, 2015

    YANGA SC NA SC VILLA KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Mliberia Kpah Sherman akiwatoka mabeki wa SC Villa ya Uganda katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana
    Amissi Tambwe wa Yanga SC akimuacha chini beki wa SC Villa

    Lansana Kamara wa SC Villa kushoto akimiliki mpira dhidi ya Tambwe wa Yanga 

    Salum Telela wa Yanga SC kulia akimhadaa beki wa SC Villa

    Deus Kaseke wa Yanga SC akimtoka beki wa SC Villa

    Kipa wa SC Villa akidaka mpira wa juu dhidi ya beki wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' kulia

    Makocha wa Yanga SC, Hans van der Pluijm kulia na Charles Boniface Mkwasa kushoto 

    Simon Msuva wa Yanga akimshuhudia kipa wa SC Villa akidaka mbele yake

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA SC VILLA KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top