
Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akifurahia Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya na mwanawe, Thiago katika chumba cha kubadilishia ngup jana Uwanja wa Olimpiki mjini Berlin, Ujerumani baada ya kuwafunga Juventus mabao 3-1 na kutwaa taji hilo

Neymar aking'ata Medali yake aliyozawadiwa baada ya ushindi wa jana akiwa na mwanawe, David Lucca da Silva Santos PICHA ZAIDI GONGA HAPA


.png)
0 comments:
Post a Comment