• HABARI MPYA

    Sunday, June 07, 2015

    MALINZI AZINDUA "SAFARI YA MATUMAINI YA SOKA YA TANZANIA"

    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akiwakagua wachezaji wa timu za vijana chini ya umri wa miaka 13 asubuhi ya leo Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Mashindano ya taifa ya U13 yameanza leo Mwanza, lengo likiwa ni kutafuta wachezaji wa kuunda timu ya taifa ya U17 itakayoshiriki Fainali za Afrika mwaka 2019, ambayo Tanzania itakuwa mwenyeji. Mradi huo ni maarufu kama "Safari ya Matumaini ya Soka ya Tanzania", kwa sababu vijana hao pia wanatarajiwa kuwa nyota wa timu imara ya taifa baadaye.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MALINZI AZINDUA "SAFARI YA MATUMAINI YA SOKA YA TANZANIA" Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top