Bondia Miguel Cotto wa Puerto Rico akiondoka baada ya kumdondosha mpinzani wake, Daniel Geale wa Australia raundi ya nne katika pambano la uzito wa Middle ubingwa wa dunia wa WBC ukumbi wa Barclays Center mjini New York Geale, Marekani. Cotto alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA


.png)
0 comments:
Post a Comment