• HABARI MPYA

    Friday, October 26, 2012

    MAN UNITED YAPATA MDHAMINI WA JEZI, AVUNJA REKODI YA DUNIA


    KLABU ya Manchester United itaendelea kuitangaza DHL katika jezi zao mazoezi, baada ya kukubaliana na kampuni hiyo mkataba mpya wa udhamini wa jezi zao za mazoezi.
    Wakati United inatangaza kuingia mkataba wa awali na DHL mwaka 2010 wenye thamani ya pauni Milioni 40 kwa miaka minne, ilikuwa ni kwa ajili ya maeneo yasiyo ya mkusanyiko wa watu na mechi za kufuzu za Ligi ya Mabingwa.
    Big deal: DHL had paid £40m to sponsor training kit
    Rio Ferdinand akiwa na jezi ya DHL mazoezini ambayo imelipa pauni Milioni 40 kudhamini
    Tangu hapo, United imepiga hatua nyingine kubwa ya kupata mkataba wa pauni Milioni 559 ya udhamini wa jezi na kampuni ya General Motors, ambayo inavunja rekodi ya dunia kwa kuchukua nafasi ya AON mwaka 2014.
    Familia ya Glazer inayoimiliki klabu hiyo, imepiga hatua zaidi kwa kuinunua DHL, kuhakikisha wananufaika zaidi kwa mapato.
    "Tumekamilisha vizuri mazungumzo ya mkataba wa udhamini wa jezi za mazoezi na DHL, mara utakapomalizika tu Juni 30, mwaka 2013," klabu hiyo ilithibitisha.
    Usual step: The Glazer family
    Familia ya Glazer

    SOURCE: http://www.dailymail.co.uk
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAN UNITED YAPATA MDHAMINI WA JEZI, AVUNJA REKODI YA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top