Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 49 kwa penalti na 58 katika ushindi wa Liverpool wa 3-1 dhidi ya Arsenal leo Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza la Liverpool limefungwa na Joel Matip dakika ya 41 na bao pekee la Arsenal limefungwa na Lucas Torreira dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment