AZAM FC WAENDELEA NA MAZOEZI KUJIANDAA NA MCHEZO WA MARUDIANO DHIDI YA FASIL KENEMA
Wachezaji wa Azam FC wameendelea na mazoezi kwa siku ya pili, wakijiweka sawa kuelekea mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia, itakayofanyika Uwanja wa Azam Complex Jumamosi hii saa 10.00 jioni.
0 comments:
Post a Comment