Tammy Abraham akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika ya tatu na 68 katika ushindi wa 3-2 wa Chelsea dhidi ya Norwich kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Carrow Road huo ukiwa ni ushindi wa kwanza wa kocha Frank Lampard tangu aanze kazi. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Mason Mount dakika ya 17, wakati mabao ya Norwich yamefungwa na Todd Cantwell dakika ya sita na Teemu Pukki dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment