Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 15 na 64 katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Bournemouth Uwanja wa Vitality. Bao la pili la Man City limefungwa na Raheem Sterling dakika ya 43, wakati la Bournemouth limefungwa na Harry Wilson dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment