Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St Mary's. Bao la pili la Liverpool limefungwa na Roberto Firmino dakika ya 71 kabla ya Danny Ings kuifungia Southampton bao la kufutia machozi dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment