Kipa Mspaniola, Adrian San Miguel del Castillo akipangua mkwaju wa penalti wa Tammy Abraham kuiwezesha Liverpool kutwaa taji la Super Cup la UEFA baada ya kuifunga Chelsea kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 120 usiku wa jana Uwanja Vodafone Arena mjini İstanbul, Uturuki. Adrian ni kipa wa pili, ambaye jana alianza kwa sababu kipa wa kwanza, Alisson ni majeruhi baada ya kuumia kwenye mechi dhidi ya Norwich Ijumaa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment