Pierre-Emerick Aubameyang akiwanyooshea kidole mashabiki kufurahi nao baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 64 ikiilaza Burnley 2-1 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 13, wakati la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment