• HABARI MPYA

  Friday, January 04, 2019

  RONALDO ASHINDA TUZO YA GLOBE SOCCER KWA MARA YA TANO

  Mwanasoka bora wa zamani wa dunia, Mreno Cristiano Ronaldo akikabidhiwa tuzo ya Globe Soccer baada ya kushinda kwa mara ya tano jana akiwapiku wachezaji walioipa Ufaransa Kombe la Dunia mwaka jana nchini Urusi, Kylian Mbappe na Antoine Griezmann 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO ASHINDA TUZO YA GLOBE SOCCER KWA MARA YA TANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top