Alexandre Lacazette (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 83 kufuatia Pierre-Emerick Aubameyang (kushoto) kufunga la kwanza kwa penalti dakika ya 66 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Cardiff City ambayo bao lake lilifungwa na Nathaniel Mendez-Laing dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Emirates mjini London. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 47 baada ya kucheza mechi 24, ingawa inabaki nafasi ya tano kwa kuzudiwa tu wastani wa mabao na Chelsea iliyo nafasi ya nne, lakini ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kim Little wins November Goal of the Month
-
Scotland international wins award for her stunning strike in the WSL's
first north London derby
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment