• HABARI MPYA

  Friday, January 04, 2019

  SANTI CAZORLA AIPOKONYA USHINDI REAL MADRID LA LIGA, SARE 2-2

  Santi Cazorla akiifungia bao la kusawazisha Villarreal dakika ya 82 katika sare ya 2-2 na Real Madrid jana Uwanja wa Ceremica. Cazorla ndiye aliyefunga bao la kwanza la Villarreal pia dakika ya nne, wakati mabao ya Real Madrid yalifungwa na Karim Benzema dakika ya saba na Raphael Varane dakika ya 20 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANTI CAZORLA AIPOKONYA USHINDI REAL MADRID LA LIGA, SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top