Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Arsenal dakika ya 14 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates. Bao la pili la Arsenal limefungwa na Laurent Koscielny dakika ya 39 na ushindi huo unaifanya Arsenal ifikishe pointi 44 baada ya kucheza mechi 23, ikiendelea kushika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu, sasa ikizidiwa pointi tatu na Chelsea iliyo nafasi ya nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
49 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment