• HABARI MPYA

  Thursday, January 31, 2019

  RONALDO NA JUVENTUS YAKE WACHAPWA 3-0 NA KUTOLEWA COPPA ITALIA

  Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo akiudhibiti mpira mbele ya beki wa Atalanta katika mchezo wa Robo Fainali Coppa Italia usiku wa jana Uwanja wa Atleti Azzurri d'Italia mjini Bergamo. Atalanta ilishinda 3-0, mabao yake yakifungwa na Timothy Castagne dakika ya 37 na Duvan Zapata mawili dakika za 39 na 86 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO NA JUVENTUS YAKE WACHAPWA 3-0 NA KUTOLEWA COPPA ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top