Ousmane Dembele akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika za 30 na 31 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Levante usiku wa jana kwenye mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania, maarufu kama Copa del Rey Uwanja wa Camp Nou jana. Bao la tatu lilifungwa na Lionel Messi dakika ya 54 na kwa matokeo hayo, Barcelona inatinga Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-2 kufuatia kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Ciudad de Valencia Januari 10 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment