• HABARI MPYA

  Thursday, January 24, 2019

  BARCA YAZIPIKU PSG NA MAN CITY, YAMSAINI DE JONG MIAKA MITANO

  Frenkie de Jong akikabidhiwa jezi ya Barcelona na Rais wa klabu hiyo, Josep Maria Bartomeu baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 65 kutoka Ajax na kuifanya klabu hiyo ya Katalunya izipiku Manchester City na Paris Saint-Germain zilizokuwa zinamtaka pia kiungo huyo. Lakini de Jong aliyesaini mkataba wa miaka mitano atabakia Amsterdam hadi mwishoni mwa msimu ndipo atajiunga na klabu yake mpya 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCA YAZIPIKU PSG NA MAN CITY, YAMSAINI DE JONG MIAKA MITANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top