• HABARI MPYA

  Tuesday, January 01, 2019

  MZEE WA HAT TRICK, FIRMINO AHAMISHIA NGUVU ZAKE MAN CITY

  Roberto Firmino aliyepiga hat-trick katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo uliopita akiwasili mazoezini viwanja vya Melwood kujiandaa na mchezo dhidi ya wapinzani wao wakubwa kwenye mbio za ubingwa, Manchester City Alhamisi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MZEE WA HAT TRICK, FIRMINO AHAMISHIA NGUVU ZAKE MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top