• HABARI MPYA

  Tuesday, January 01, 2019

  MAYWEATHER ALIVYOKIFANYIA KICHEZA KICK BOXING CHA JAPAN

  Bondia Floyd Mayweather akizuiwa asiendelee kumshambulia mpinzani wake, Tenshin Nasukawa usiku wa kuamkia leo kwenye pambano la maoyesho mjini Tokyo, Japan. Mayweather alimuangusha mara tatu Nasukawa, ambaye ni mcheza kick boxing ndani ya dakika mbili za raundi ya kwanza na kushinda kwa Knockout (KO) hivyo kuingiza kiasi cha dola za Kimarekani Milioni 9 kwa pambano ambalo ilitakiwa liwe la raundi tatu. Floyd Mayweather, mwenye umri wa miaka 41 alistaafu ngumi baada ya kumpiga Conor McGregor mwaka 2017 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAYWEATHER ALIVYOKIFANYIA KICHEZA KICK BOXING CHA JAPAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top