• HABARI MPYA

  Wednesday, September 20, 2017

  YANGA SC MAZOEZINI LEO UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA NDANDA

  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiwania mpira katikati ya wenzake mazoezini leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Ndanda FC Jumamosi
  Kipa Mcameroon, Youthe Rostand (kulia) akidaka mpira mazoezini leo  
  Kiungo Baruan Akilimali (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita Papy Kabamba Tshishimbi

  Donald Ngoma (kushoto) leo amefanya mazoezi kwa bidii mno kuashiria anataka kurejesha makali yake katika Ligi Kuu
  Winga Emmanuel Martin akimtangulizia pasi Donald Ngoma mazoezini leo
   Kocha Mzambia, George Lwandamina akizungumza mazoezini leo
  Kocha George Lwandamina (katikati) akiwa na wasaidizi wake na beki majeruhi, Juma Abdul (kushoto)
  Kiungo Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi baada ya mazoezi leo  
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC MAZOEZINI LEO UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA NDANDA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top