• HABARI MPYA

  Wednesday, September 20, 2017

  MSUVA AKIFURAHIA KUELEKEA MECHI YA LEO KOMBE LA FA

  Winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva (wa pili kulia) akifurahia na wachezaji wenzake na Maofisa wa Difaa Hassan El Jadida kuelekea mchezo wa leo wa Kombe la FA Morocco dhidi ya wenyeji, Ittihad Tanger Uwanja wa Grand Stade de Tanger kufuatia mchezo wa awali kumalizika kwa sare ya 0-0 Septemba 13 mjini Jadida
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA AKIFURAHIA KUELEKEA MECHI YA LEO KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top