• HABARI MPYA

    Friday, September 01, 2017

    MAKAMU WA RAIS TFF, WAMBURA ALIKUWA KAMISAA JANA KORONGO AKIUA FARAO

    Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura (kushoto) akitoa maelekezo kabla ya kuanza kwa mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2018 baina ya wenyeji, Uganda na Misri jana Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala. Wambura alikuwa Kamisaa wa mechi hiyo ambayo The Cranes waliwalaza 1-0 Mafarao
    Wambura akiwa pamoja na waamuzi wa mchezo huo na Manahodha
    Wambura akiwa pamoja na Maofisa mbalimbali mbele ya mstari wa wachezaji 
    Kikosi cha Uganda kilichoanza jana
    Kikosi cha Misri kilichoanza jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS TFF, WAMBURA ALIKUWA KAMISAA JANA KORONGO AKIUA FARAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top