• HABARI MPYA

    Friday, June 05, 2015

    JUVENTUS WALIVYOJIFUA LEO BERLIN TAYARI KWA SHUGHULI NA BARCA KESHO

    Italy playmaker Pirlo and Chile international Vidal battle for the ball during Friday's training session at the Olympic Stadium
    Kiungo wa kimataifa wa Italia, Pirlo akigombea mpira na nyota wa Chile, Vidal wakati wa mazoezi ya Juventus leo Uwanja wa Olimpiki mjini Berlin, Ujerumani kujiandaa na Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kesho dhidi ya Barcelona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUVENTUS WALIVYOJIFUA LEO BERLIN TAYARI KWA SHUGHULI NA BARCA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top