
Mgombea Urais wa zamani wa Marekani, Mitt Romney (kushoto) akichimbiana mikwara na bingwa wa zamani wa ndondi uzito wa juu, Evander Holyfield wakati wa kupima uzito leo mjini Utah, Marekani. Romney mwenye umri wa miaka 68 alitarajiwa kupigana na Holyfield mwenye miaka 52 usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Salt Lake City, Utah katika pambano la hisani kuchangisha fedha za kuwasaidia watu wasioona. PICHA ZAIDI GONGA HAPA



.png)
0 comments:
Post a Comment