Kiungo wa Manchester United, Marouane Fellaini akimchezea rafu Paul McShane wa Hull City katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England leo timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Fellaini alitolewa nje kwa kadi nyekundu wakati Hull imeipa mkono wa kwaheri ligi hiyo. PICHA ZAIDI GONGA HAPA


.png)
0 comments:
Post a Comment