Bondia James DeGale akiwa amemkandamiza konde mpinzani wake, Andre Dirrell katika pambano la ubingwa wa dunia wa IBF uzito wa Super-Middle usiku wa jana mjini Boston, Uingereza. Muingereza DeGale mwenye umri wa miaka 29, ameshinda kwa pointi za majaji wote watatu, Mcanada Alan Davis akitoa 117-109, Muingereza Howard Foster na Mcanada mwingine, Dan Fitzgerald wakitoa 114-112 katika pambano hilo ambalo DeGale alimuangusha chini mara mbili Mmarekani Dirrell. PICHA ZAIDI GONGA HAPA


.png)
0 comments:
Post a Comment