• HABARI MPYA

    Monday, June 03, 2013

    NEYMAR APATA MAPOKEZI MAKUBWA BARCA LEO

    IMEWEKWA JUNI 3, 2013 SAA 9:50 ALASIRI
    KLABU ya Barcelona imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Mbrazil Neymar baada ya kutua katika klabu hityo leo. 
    Mbrazil huyo anaungana na wakali kama Lionel Messi, Xavi, Andres Iniesta na Daniel Alves Barcelona akiwa anapewa nafasi ya kufuata nyayo za Wabrazil wengine waliotikisa Ulaya.

    RATIBA YA NEYMAE BARCA...

    1pm Kupigwa picha kabla ya kufanyiwa vipimo vya afya
    4pm Milango ya Camp Nou inafunguliwa ili wapenzi na mashabiki kuingia
    4.45pm Anasaini Mkataba katika ofisi za klabu
    5.45pm Kupiga picha FCB
    6.15pm Milango inafunguliwa kwa ajili ya sherehe ya kumtambulisha Neymar kama mchezaji mpya wa FC Barcelona Camp Nou.
    7.30pm Mkutano na Waandishi wa Habari
    Wave away: The biggest arrival at Barcelona since a certain Argentine teenager?
    Mapokenzi makubwa Barcelona 
    Eager: Photographers line-up to take snaps of the new Barcelona star
    Wapiga picha wakimtwanga za kutosha nyota mpya wa Barcelona
    New kid on the block: Outside the Barcelona offices
    Nje ya ofisi za Barcelona 
    Stardom: Neymar next to the Barcelona club crest outside the Nou Camp
    Centre of attention: Every photographer in Barcelona will be at the Nou Camp
    Thumbs up! Neymar after landing at Barcelona's El Prat Airport

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NEYMAR APATA MAPOKEZI MAKUBWA BARCA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top