• HABARI MPYA

    Monday, June 03, 2013

    KING KIBADENI AENDELEA 'KUIUMBA UMBA' SIMBA SC TARATIIIIBU KINESI

    IMEWEKWA JUNI 3, 2013 SAA 9:30 ALASIRI
    Mshambuliaji wa Simba SC, Edward Christopher akifanya mazoezi asubuhi ya leo kwenye Uwanja wa Kinesi, Urafiki Dar es Salaam.

    Edo akikokota mpira mazoezini

    Mtoto kwa baba hakui; Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdallah Athumani Seif 'King Kibadeni' akimuelekeza jambo Msaidizi wake, Jamhuri Kihwelo mazoezini asubuhi ya leo. Kibadeni amewahi kumfundisha Jamhuri Kihwelo Simba SC. 

    Kiungo Rashid Ismail akikokota mpira

    Adeyoum Saleh Ahmed akikokota mpira

    Ramadhani Singano 'Messi'

    Hassan Hatibu akikokota mpira

    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Sweddy Nkwabi akimkaribisha mazoezini Daktari mpya wa timu hiyo,  Yassin Gembe aliyekuwa akifanya kazi Mtibwa Sugar ya Morogoro ambaye anachukua nafasi ya Cossmas Kapinga aliyejiuzulu. Kushoto ni Katibu wa Simba SC, Evodius Mtawala. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KING KIBADENI AENDELEA 'KUIUMBA UMBA' SIMBA SC TARATIIIIBU KINESI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top