• HABARI MPYA

    Friday, March 16, 2012

    DI MATTEO AMSINDIKIZA NA KIJEMBE AVB


    Di Matteo
    CHELSEA kuanza kufanya kweli tangu kufukuzwa kwa kocha Mreno, Andre Villas-Boas imetokana na wachezaji kuwa katika hali ya furaha na mchezo, amesema kaimu Kocha wa timu hiyo, Roberto Di Matteo leo.
    Mtaliano huyo ameshinda mechi tatu mfululizo tangu Villas-Boas atupiwe virago, ukiwemo ushindi wa jumla wa 5-4 dhidi ya Napoli Jumatano na kutinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa, ambako itakutana na Benfica.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DI MATTEO AMSINDIKIZA NA KIJEMBE AVB Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top