• HABARI MPYA

    Tuesday, January 14, 2014

    COASTAL UNION YAENDELEZA UBABE OMAN, MTAWAKOMA WAKIRUDI LIGI KUU

    Coastal Union ya Tanga imeshinda mechi ya pili mfululizo katika ziara yake ya Oman, baada ya jioni ya leo kuwafunga wenyeji Nadi Oman mabao 2-0 kwenye Uwanja wa mjini Muscat. Mabao ya mabingwa hao wa Ligi Kuu 1988 yalitiwa kimiani na wachezaji waliopandishwa kutoka timu ya vijana, mshambuliaji Mohammed Miraj na beki Yussuf Chuma. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COASTAL UNION YAENDELEZA UBABE OMAN, MTAWAKOMA WAKIRUDI LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top