• HABARI MPYA

  Saturday, January 25, 2014

  ARSENAL BADO KIDOGO TU KUMALIZANA NA DRAXLER

  KLABU ya Arsenal ipo karibu kumsaini nyota wa Schalke, Julian Draxler.
  Kocha Arsene Wenger aliyeanza kumfukuzia mchezaji huyo mapema mwezi huu, anaamini mchezaji huyo atakuwaRobin van Persie mwingine.
  Na Mfaransa huyo amejawa matumaini ya kumsana Mjerumani huyo kinda mwenye kipaji ahamishie cheche zake Uwanja wa Emirates.
  Anakuja: Draxler anauzwa kwa Pauni Milioni 37
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL BADO KIDOGO TU KUMALIZANA NA DRAXLER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top