• HABARI MPYA

  Saturday, January 25, 2014

  LIVERPOOL YAPETA KOMBE LA FA...SUAREZ LEO ALIKUWA MPISHI TUUUU!

  MABAO ya Victor Moses na Daniel Sturridge yametosha kuiwezesha Liverpool kuifunga Bournemouth katika mechi ya Raundi ya Nne ya Kombe la FA jioni hii.
  Wageni waliingia Uwanja Goldsands na kikosi cha nguvu na alikuwa ni Luis Suarez aliyetengeneza mabao yote yaliyoiwezesha Reds kuingia 16 Bora.
  Back to business: Daniel Sturridge celebrates in front of the Liverpool fans after scoring their second
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAPETA KOMBE LA FA...SUAREZ LEO ALIKUWA MPISHI TUUUU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top