• HABARI MPYA

    Monday, March 18, 2013

    MAMBO YA TUSKER LITE WE ACHA TU

    Meneja wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi kielezea wadau jinsi bia ya Tusker Lite ilivyotengenezwa kwa vimelea asili na yenye wanga kidogo sana katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.



    Mmoja wa wageni waalikwa ambaye mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya jijini Arusha anayejulikana kwa jina la ”Mkoloni” akitoa neno lake kuonyesha hisia kuhusu ujio wa bia ya Tusker Lite, kushoto na JBC,na kulia mwisho ni Nakaaya Sumari katika katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.



    Mwanamuziki wa Bendi ya Vibration ya jijini Arusha akiwaongoza mabalozi wa bia ya Tusker Lite kucheza pamoja na wadau wa jijini Arusha katika hafla hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.



    Nyaki na Mama akishindana na nyaki kucheza muziki wakati wa hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.



    Mama akifurahia zawadi ya glass za Tusker Lite baada ya kuibuka mshindi wa kucheza muziki katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.



    Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia ya Serengeti wakishindani kucheza muziki wakati wa hafla ya uzinduzi wa bia ya Tusker Lite uliofanyika ka katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.



    Nakaaya Sumari akifurahia jambo na MC katika hafla hiyo.



    Karibu Arusha: Wakazi wa jiji la Arusha wakifurahia ujio wa bia ya Tusker Lite katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAMBO YA TUSKER LITE WE ACHA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top